Zaburi 32:8
Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea; nitakushauri, jicho langu likikutazama.
Jesus is calling you, he says follow me and I will make you fishers of men.
Mathayo 9:9 Yesu akamwambia, nifuate. Akaondoka, akamfuata.
Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe.
Katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyosha mapito yako. Mithali 3:5-6
Wafilipi 4:19
Na Mungu wangu atawajazeni kila mnachokihitaji kwa kadiri ya utajiri wake, katika utukufu, ndani ya kristo Yesu.
Wafilipi 4:13
Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.
0 Reviews